Swali: Dada huyu anauliza kwa kusema, ni hali zipi ambazo ni wajibu kwa mwanamke kuoga?
Jibu: Mwanamke ni wajibu kuoga kutokana na hedhi, nifasi na janaba. Anatakiwa kuoga kutokana na hadathi kubwa; hedhi, nifasi na janaba.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/5426
- Imechapishwa: 28/09/2020
Swali: Dada huyu anauliza kwa kusema, ni hali zipi ambazo ni wajibu kwa mwanamke kuoga?
Jibu: Mwanamke ni wajibu kuoga kutokana na hedhi, nifasi na janaba. Anatakiwa kuoga kutokana na hadathi kubwa; hedhi, nifasi na janaba.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/5426
Imechapishwa: 28/09/2020
https://firqatunnajia.com/lini-ni-wajibu-kwa-mwanamke-kuoga/