Lini ataleta Adhkaar yule aliyekusanya baina ya swalah mbili?

Swali: Adhkaar zinazosemwa baada ya swalah, je, huzisema yule anayekusanya swalah mbili baada ya swalah ya kwanza na ya pili?

Jibu: Atasoma kile kinachomwepesikia baada ya swalah ya kwanza, na pia atasema Adhkaar hizo baada ya swalah ya pili.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (30/194)
  • Imechapishwa: 10/03/2026