Swali 644: Vipi katika kafara ya yamini ikiwa mtu atawalisha watu watano chakula mara mbili?

Jibu: Hapana haisihi. Ni lazima wawe kumi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 226
  • Imechapishwa: 18/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´