Kwa nini mwanamke hafai kumuonesha mwanamke wa kikafiri nywele zake?

Swali: Ipi dalili ya uwajibu wa mwanamke kufunika nywele zake mbele ya wanawake wa kikafiri?

Jibu: Dalili ni kuwa wanawake wa kikafiri mara nyingi wanafanya khiyana katika amaanah. Huenda akaenda kusifia umbile la huyu mwanamke muislamu kwa mtu ajinabi, ikapelekea katika madhara. Ama kwa yule ambaye atakuwa na wanawake makafiri ambao ni waaminifu, hakuna ubaya akaonesha uso wake – khaswa ikiwa kumetokea dharurah.

Check Also

Kufanya sherehe inapoisha nifasi ya mwanamke siku arubaini

Swali: Ipi hukumu ya “al-Arba´iyniyyah” yaani mwanamke mwenye nifasi damu yake inapokatika na akatwahirika damu …