Swali: Inajuzu kwa muislamu kukata ndevu zake ili ncha ziwe sawa?

Jibu: Hapana. Ndevu zinaachwa kama zilivyo:

“Refusheni ndevu.”[1]

Bi maana ziacheni na wala msiguse kitu; si kwa kukata, kuchonga, kunyoa. Ndevu zinaachwa kama zilivyo.

[1] al-Bukhaariy (5892) na Muslim (259).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (86) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/NEW.lite_.mp3
  • Imechapishwa: 08/07/2018