Kuzingatia ushuru unaochukuliwa na serikali kuwa ni zakaah?

Swali: Ikiwa nchi inachukua ushuru kutoka katika mishahara yetu, tunaweza kuzingatia kiwango hicho kuwa ni sehemu ya zakaah?

Jibu: Hapana, haijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (44)
  • Imechapishwa: 18/07/2024