Swali: Mwenye kupindukia kumpenda mtu ambapo akayatanguliza maneno yake kabla ya maneno ya Allaah na Mtume Wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
Jibu: Haya ni maasi. Ni kufuata kipofu. Akiwa ni mwenye kuona kwamba kitendo hicho ni halali na kwamba maneno ya Shaykh wake ni yenye kutangulizwa mbele ya maneno ya Allaah na Mtume Wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), anakufuru kufuru kubwa. Hapo ni pale ambapo atahalalisha kitendo hicho.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 41
- Imechapishwa: 16/06/2019
Swali: Mwenye kupindukia kumpenda mtu ambapo akayatanguliza maneno yake kabla ya maneno ya Allaah na Mtume Wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
Jibu: Haya ni maasi. Ni kufuata kipofu. Akiwa ni mwenye kuona kwamba kitendo hicho ni halali na kwamba maneno ya Shaykh wake ni yenye kutangulizwa mbele ya maneno ya Allaah na Mtume Wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), anakufuru kufuru kubwa. Hapo ni pale ambapo atahalalisha kitendo hicho.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 41
Imechapishwa: 16/06/2019
https://firqatunnajia.com/kuyatanguliza-maneno-ya-shaykh-wake-kabla-ya-qur-aan-na-sunnah/