Swali 238: Je, kumepokelewa chochote juu ya kuwatenganisha watoto wa kiume katika safu ya swalah?

Jibu: Sijapata chochote. Hata hivyo kama kuna vurugu au utovu wa nidhamu, basi ni sawa kuwatenganisha.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 94
  • Imechapishwa: 08/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´