Swali: Ikiwa jamaa zake, kwa mfano, wako na king´amuzi/dishi, anaweza kuwatembelea kisha akaondoka zake?
Jibu: Anapaswa kuwatembelea na kuwashauri kuhusu king´amuzi/dishi na madhambi mengine. Wakikataa na kung’ang’ania batili yao na kuidhihirisha, basi watastahiki kususwa.
Swali: Je, awazuru kwanza bila kuwasusa?
Jibu: Hapana, awanasihi.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/29295/حكم-زيارة-الاقارب-الذين-عندهم-منكرات
- Imechapishwa: 01/06/2025
Swali: Ikiwa jamaa zake, kwa mfano, wako na king´amuzi/dishi, anaweza kuwatembelea kisha akaondoka zake?
Jibu: Anapaswa kuwatembelea na kuwashauri kuhusu king´amuzi/dishi na madhambi mengine. Wakikataa na kung’ang’ania batili yao na kuidhihirisha, basi watastahiki kususwa.
Swali: Je, awazuru kwanza bila kuwasusa?
Jibu: Hapana, awanasihi.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/29295/حكم-زيارة-الاقارب-الذين-عندهم-منكرات
Imechapishwa: 01/06/2025
https://firqatunnajia.com/kuwatembelea-jamaa-wenye-tv-nyumbani/