Swali: Je, kutoka nje mitaani kwa ajili ya kutatua haja mbalimbali ambapo mtu akakumbana na matukio ya uchi wakati wa mchana Ramadhaan kunaharibu swawm?
Jibu: Hakuharibu swawm. Ni lazima kwake kufumba macho yake kiasi awezavyo.
´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
´Abdur-Razzaaq ´Afiyfiy
´Abdullaah bin Ghudayyaan
´Abdullaah bin Qu´uud
- Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Lajnah ad-Daaimah (10/274) nr. (6364)
- Imechapishwa: 28/04/2022
Swali: Je, kutoka nje mitaani kwa ajili ya kutatua haja mbalimbali ambapo mtu akakumbana na matukio ya uchi wakati wa mchana Ramadhaan kunaharibu swawm?
Jibu: Hakuharibu swawm. Ni lazima kwake kufumba macho yake kiasi awezavyo.
´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
´Abdur-Razzaaq ´Afiyfiy
´Abdullaah bin Ghudayyaan
´Abdullaah bin Qu´uud
Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Lajnah ad-Daaimah (10/274) nr. (6364)
Imechapishwa: 28/04/2022
https://firqatunnajia.com/kuwatazama-wanawake-waliovaa-vibaya-kunaharibu-swawm/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)