Swali: Je, inajuzu kuwasifu Ahl-ul-Kitaab wote kwamba ni watu waaminifu kutokana na Kauli Yake (Ta´ala):
وَمِنْ أَهْلِ الْكِتَابِ مَنْ إِن تَأْمَنْهُ بِقِنطَارٍ يُؤَدِّهِ إِلَيْكَ
“Katika Ahl-ul-Kitaab yuko ambaye ukimpa amana ya mrundi atakurejeshea”? (03:75)
Jibu: Ujumla huu umeutoa wapi? Aayah hii inahusiana na Ahl-ul-Kitaab maalum na si wote:
وَمِنْ أَهْلِ الْكِتَابِ
“Katika Ahl-ul-Kitaab… ”
Bi maana baadhi ya Ahl-ul-Kitaab. Wewe soma matamshi ya Aayah tu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13965
- Imechapishwa: 13/04/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket