Swali: Kunyoa nywele za mtoto mdogo wa kike?
Jibu: Asizinyoe isipokuwa kutokana na sababu. Ikiwa ni kutokana na ugonjwa wenye kuonekana na daktari wa kiume au daktari wa kike. Wakiona manufaa kwa sababu ya dawa.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21941/ما-حكم-حلق-شعر-الطفلة-الصغيرة
- Imechapishwa: 07/10/2022
Swali: Kunyoa nywele za mtoto mdogo wa kike?
Jibu: Asizinyoe isipokuwa kutokana na sababu. Ikiwa ni kutokana na ugonjwa wenye kuonekana na daktari wa kiume au daktari wa kike. Wakiona manufaa kwa sababu ya dawa.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21941/ما-حكم-حلق-شعر-الطفلة-الصغيرة
Imechapishwa: 07/10/2022
https://firqatunnajia.com/kuwakata-nywele-wasichana-wadogo-ii/