Swali: Ni ipi hukumu ya kuhifadhi picha za watoto wachanga ili wazione watapokuwa wakubwa?
Jibu: Haijuzu kufanya hivi. Hili halijuzu kabisa. Kuhifadhi picha kwa ajili ya kumbukumbu au kwa ajili ya kuziona haijuzu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (06) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2121
- Imechapishwa: 02/07/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya kuhifadhi picha za watoto wachanga ili wazione watapokuwa wakubwa?
Jibu: Haijuzu kufanya hivi. Hili halijuzu kabisa. Kuhifadhi picha kwa ajili ya kumbukumbu au kwa ajili ya kuziona haijuzu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (06) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2121
Imechapishwa: 02/07/2020
https://firqatunnajia.com/kuwahifadhia-watoto-picha-zao-wakiwa-wachanga-2/