Swali: Ni ipi hukumu ya kuuza kaseti na vitabu ambapo ndani yake kuna kuwatukana Maswahabah (Radhiya Allaahu ´anhum) au kuigawanya kwa watu ili waweze kusikiliza? Unamnasihi nini kwa anayefanya hivo?
Jibu: Kuuza kaseti hizi au vitabu ambavyo vina kuwatukana Maswahabah (Radhiya Allaahu ´anhum) au baadhi yao, ni uuzaji wa batili. Hii ni bidhaa ya haramu. Ni wajibu kuivunja na kuichana. Thamani yake ni haramu. Kuieneza ni haramu. Lililo la wajibu ni kuivunja na kuichana.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (13) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_13.mp3
- Imechapishwa: 15/06/2015
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)