Kuua kiumbe chenye madhara ndani ya swalah

Swali 267: Je, kilicho na madhara kilikuwa kikiuawa ndani ya swalah kama nyoka na nge?

Jibu: Sio jambo lililo mbali, ikiwa kuna haja.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 99
  • Imechapishwa: 10/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´