Kutumia vidonge vya kuzuia mimba kwa muda

Swali: Ni ipi hukumu ya kutumia baadhi ya vidonge maalum vya kuzuia mimba kwa muda?

Jibu: Ikiwa kuna haja ya kufanya hivyo na haitasababisha madhara na jambo hilo likawa kwa ridhaa ya wanandoa wote wawili, basi hapana vibaya kufanya hivyo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (21/196)
  • Imechapishwa: 18/03/2026