Kutumia dawa katika kuondoa nywele za kwapani au za sehemu za siri

Swali 7970: Je, inajuzu kwa mwanaume kutumia dawa ya kuondoa nywele katika kuondoa nywele za kwapani na nywele za sehemu za siri?

Jibu: Ndiyo, inajuzu kufanya hivyo katika kuondoa nywele za kwapani na za sehemu za siri.

  • Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/171)
  • Imechapishwa: 29/10/2026