Swali 3184: Je, inajuzu kunyoa nywele za kwapani kwa kutumia wembe maalum wa kunyoa?
Jibu: Inajuzu. Kinachotakiwa ni kuziondoa nywele za kwapani kwa kuzinyonyoa, ni mamoja kwa kunyoa au kwa njia nyingine. Kuzinyonyoa ni bora ikiwa hilo linawezekana. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Mambo matano ni katika maumbile: tohara, kunyoa nywele za sehemu za siri, kupunguza masharubu, kukata kucha na kung’oa nywele za kwapani.”[1]
Kuna maafikiano juu ya usahihi wake.
[1] Ahmad (02/229), al-Bukhaariy (07/56) na Muslim (01/153) na wengineo.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/171)
- Imechapishwa: 29/10/2026
Swali 3184: Je, inajuzu kunyoa nywele za kwapani kwa kutumia wembe maalum wa kunyoa?
Jibu: Inajuzu. Kinachotakiwa ni kuziondoa nywele za kwapani kwa kuzinyonyoa, ni mamoja kwa kunyoa au kwa njia nyingine. Kuzinyonyoa ni bora ikiwa hilo linawezekana. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Mambo matano ni katika maumbile: tohara, kunyoa nywele za sehemu za siri, kupunguza masharubu, kukata kucha na kung’oa nywele za kwapani.”[1]
Kuna maafikiano juu ya usahihi wake.
[1] Ahmad (02/229), al-Bukhaariy (07/56) na Muslim (01/153) na wengineo.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/171)
Imechapishwa: 29/10/2026
https://firqatunnajia.com/kunyoa-nywele-za-kwapani-kwa-kutumia-wembe-au-vifaa-vya-kisasa/