Swali 8942: Ni ipi hukumu ya kutumia hina kwenye nywele kwa madhumuni ya matibabu, kwa sababu zinadondoka, na si kwa madhumuni ya kubadilisha rangi ya nywele?
Jibu: Inajuzu kwa hali zote.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/169)
- Imechapishwa: 29/10/2026
Swali 8942: Ni ipi hukumu ya kutumia hina kwenye nywele kwa madhumuni ya matibabu, kwa sababu zinadondoka, na si kwa madhumuni ya kubadilisha rangi ya nywele?
Jibu: Inajuzu kwa hali zote.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/169)
Imechapishwa: 29/10/2026
https://firqatunnajia.com/inajuzu-kupaka-nywele-hinaa-katika-hali-zote/