Mwanamke kupaka nywele rangi siku za hedhi

Swali 8701: Ni ipi hukumu ya kupaka nywele hina au kitu kingine wakati wa siku za hedhi?

Jibu: Hakuna tofauti katika kupaka rangi nywele baina ya siku za hedhi na siku nyingine.

  • Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/164)
  • Imechapishwa: 29/10/2026