Kutofunga kwa sababu ya vita


Swali: Nilikuwa nafanya kazi jeshini na kulikuwa na vita kwa muda wa miaka saba. Matokeo yake wakawaamrisha kutofunga Ramadhaan na kwamba wale. Nini anachotakiwa kufanya hivi sasa?

Jibu: Lipa siku unazodaiwa. Siku hizo ziko katika dhimma yako. Kama adui amevamia mji na watu wakalazimika kupambana, wana ruhusa ya kula kwa sababu jambo hilo linawapa nguvu za kupambana.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (19) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtfq-22011435-01.mp3
  • Imechapishwa: 07/12/2019