Swali: Ambaye aliacha kutoa Zakaat-ul-Fitwr mwaka jana kwa sababu ya safari na kusahau. Je, aitoe mwaka huu?

Jibu: Aharakishe kuitoa hali ya kuilipa.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=2vQdgZLzLuI
  • Imechapishwa: 12/05/2020