Swali: Je, inajuzu kutoa kafara ya yamini mali?
Jibu: Hapana, hili halijuzu. Linaenda kinyume na andiko. Allaah (Jalla wa ´Alaa) amesema:
فَكَفَّارَتُهُ إِطْعَامُ عَشَرَةِ مَسَاكِينَ
”Basi kafara yake [ya kiapo] ni kulisha maskini kumi… ” (05:89)
Amesema “Lisheni” na hakusema “Toeni swadaqah kwa masikini kumi”. Amesema “Lisheni” ambako maana yake ni kuwapa chakula masikini.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (30) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-6-9.mp3
- Imechapishwa: 15/11/2014
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket