Swali: Mwenye kuswali akiwa na shaka kama amesujudu sijda mara moja au mbili katika Rakaa miongoni mwa Rakaa afanye nini?
Jibu: Ni wajibu kwake kufanye kile anachokitilia shaka na baada ya hapo ni wajibu kwake kusujudu Sujuud-us-Sahuw.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13980
- Imechapishwa: 26/06/2020
Swali: Mwenye kuswali akiwa na shaka kama amesujudu sijda mara moja au mbili katika Rakaa miongoni mwa Rakaa afanye nini?
Jibu: Ni wajibu kwake kufanye kile anachokitilia shaka na baada ya hapo ni wajibu kwake kusujudu Sujuud-us-Sahuw.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13980
Imechapishwa: 26/06/2020
https://firqatunnajia.com/kutilia-shaka-katika-sujuud/