Swali: Je, tohara ya mwanamke ni Sunnah au ni ada mbaya? Nimesoma katika moja ya magazeti kwamba tohara ya mwanamke, kwa namna yoyote ile, ni ada mbaya na yenye madhara kiafya, na wakati mwingine inaweza kusababisha utasa. Je, hili ni kweli?

Jibu: Tohara ya mwanamke miongoni mwa wasichana wa Aadam ni Sunnah na wala si ada mbaya na haina madhara ikiwa itafanywa kwa kiasi. Ama ikiwa kutazidishwa ndani yake, inaweza kusababisha madhara.

  • Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/120)
  • Imechapishwa: 21/10/2026