Swali: Inajuzu kwa mtu kuswali swalah za faradhi mbili kwa wudhuu´ mmoja?
Jibu: Ndio, inajuzu kufanya hivo. Kwa mfano akitawadha kwa ajili ya swalah ya Dhuhr kisha kukafika swalah ya ´Aswr ilihali bado yuko na twahara, inafaa kwake kuswali swalah ya ´Aswr kwa wudhuu´ wa Dhuhr. Hata kama wakati wa kutawadha hakunuia inafaa kwake kuswali kwao faradhi mbili. Kwa kuwa wudhuu´ aliyotawadha kwa ajili ya kuswali Dhuhr umeondosha hadathi. Hadathi ikiondoka basi hairudi isipokuwa kwa kupatikana sababu yake ambayo ni kuwemo moja katika vile vitenguzi vya wudhuu´ vinavyotambulika.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (11/150)
- Imechapishwa: 01/07/2017
Swali: Inajuzu kwa mtu kuswali swalah za faradhi mbili kwa wudhuu´ mmoja?
Jibu: Ndio, inajuzu kufanya hivo. Kwa mfano akitawadha kwa ajili ya swalah ya Dhuhr kisha kukafika swalah ya ´Aswr ilihali bado yuko na twahara, inafaa kwake kuswali swalah ya ´Aswr kwa wudhuu´ wa Dhuhr. Hata kama wakati wa kutawadha hakunuia inafaa kwake kuswali kwao faradhi mbili. Kwa kuwa wudhuu´ aliyotawadha kwa ajili ya kuswali Dhuhr umeondosha hadathi. Hadathi ikiondoka basi hairudi isipokuwa kwa kupatikana sababu yake ambayo ni kuwemo moja katika vile vitenguzi vya wudhuu´ vinavyotambulika.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (11/150)
Imechapishwa: 01/07/2017
https://firqatunnajia.com/kuswali-swalah-za-faradhi-mbili-kwa-wudhuu-mmoja/