Kuswali ndani ya nguo yenye damu

Swali: Je, mtu anaweza kuswali ndani ya nguo iliopatwa na damu?

Jibu: Ikiwa damu ni najisi na nyingi mtu asiswali ndani yake. Na ikiwa ni damu ni safi, kama vile damu ya ini na ya nyama inayotoka baada ya kuchinja, haidhuru.

  • Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/370)
  • Imechapishwa: 19/04/2026