Kuswali Na Nguo Mtu Amefanya Jimaa Nazo

Swali: Ni ipi hukumu ya kuswali na nguo ambazo mtu amemwingilia mke wake nazo?

Jibu: Hakuna neno. Ikiwa zimepatwa na kitu apaoshe.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (6) http://alfawzan.af.org.sa/node/14379
  • Imechapishwa: 12/11/2016