Swali: Swalah juu ya mazulia yenye picha?
Jibu: Swalah inasihi, lakini anatakiwa asiswali juu yake wala juu ya zulia lenye michoro, kwa sababu inamshughulisha. Isipokuwa mazulia hukanyagwa na hayadhuru, lakini ni bora aswali juu ya sehemu iliyo tambarare – isiyo na picha wala michoro – ili asipate usumbufu katika swalah yake.
Swali: Makusudio ya michoro ni rangi kama nyekundu na njano?
Jibu: Michoro inayoweza kumshughulisha na kumfanya afikirie juu yake, kama alivyosema Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) katika kisa cha nguo yenye michoro[1] aliyoswalia ndani yake.
[1] Tazama https://firqatunnajia.com/16-macho-yanatakiwa-kuangalia-mahala-pa-kusujudia-na-unyenyekevu-katika-swalah/#_ftnref13
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25344/هل-تصح-الصلاة-على-السجاد-التي-فيها-صور
- Imechapishwa: 26/02/2025
Swali: Swalah juu ya mazulia yenye picha?
Jibu: Swalah inasihi, lakini anatakiwa asiswali juu yake wala juu ya zulia lenye michoro, kwa sababu inamshughulisha. Isipokuwa mazulia hukanyagwa na hayadhuru, lakini ni bora aswali juu ya sehemu iliyo tambarare – isiyo na picha wala michoro – ili asipate usumbufu katika swalah yake.
Swali: Makusudio ya michoro ni rangi kama nyekundu na njano?
Jibu: Michoro inayoweza kumshughulisha na kumfanya afikirie juu yake, kama alivyosema Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) katika kisa cha nguo yenye michoro[1] aliyoswalia ndani yake.
[1] Tazama https://firqatunnajia.com/16-macho-yanatakiwa-kuangalia-mahala-pa-kusujudia-na-unyenyekevu-katika-swalah/#_ftnref13
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25344/هل-تصح-الصلاة-على-السجاد-التي-فيها-صور
Imechapishwa: 26/02/2025
https://firqatunnajia.com/kuswali-kwenye-mkeka-wenye-picha-ii/