Swali: Wakati mwingine watoto hujikojolea juu ya mazulia au vitanda vya nyumbani. Je, inatosha kuweka mkeka wa kuswalia juu ya mazulia hayo?
Jibu: Ikiwa ataswali juu ya kitanda au zulia lililoko najisi kwa kuweka juu yake mkeka, kisha akaswali juu yake, basi hakuna tatizo. Ikiwa ataosha sehemu iliyopata mkojo, kisha akamimina juu yake maji kwa wingi mpaka yakafunika sehemu hiyo, basi mahali hapo hutwahirika. Vilevile ikiwa ataweka mkeka au busati lililo twahara juu ya mazulia yaliyo najisi, hilo linatosha.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1666/حكم-الصلاة-على-سجادة-تحتها-فراش-نجس
- Imechapishwa: 07/06/2026
Swali: Wakati mwingine watoto hujikojolea juu ya mazulia au vitanda vya nyumbani. Je, inatosha kuweka mkeka wa kuswalia juu ya mazulia hayo?
Jibu: Ikiwa ataswali juu ya kitanda au zulia lililoko najisi kwa kuweka juu yake mkeka, kisha akaswali juu yake, basi hakuna tatizo. Ikiwa ataosha sehemu iliyopata mkojo, kisha akamimina juu yake maji kwa wingi mpaka yakafunika sehemu hiyo, basi mahali hapo hutwahirika. Vilevile ikiwa ataweka mkeka au busati lililo twahara juu ya mazulia yaliyo najisi, hilo linatosha.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1666/حكم-الصلاة-على-سجادة-تحتها-فراش-نجس
Imechapishwa: 07/06/2026
https://firqatunnajia.com/kuswali-juu-ya-mkeka-ambao-chini-yake-kuna-tandiko-najisi/