Swali: Ni jambo limewekwa katika Shari´ah kufanya Sujuud ya kisomo katika nyakati zilizokatazwa?
Jibu: Ndio. Kwa sababu ni yenye kufuata kisomo. Kama ambavyo inafaa kusoma katika nyakati zilizokatazwa vivyo hivyo inafaa kufanya Sujuud ya kisomo. Anapopitia Sujuud ya kisomo asujudu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (88) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/igahssat.mp3
- Imechapishwa: 08/09/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket