Swali: Kusujudia sanamu ni katika mambo ambayo hayako wazi?
Jibu: Sisi tunaangalia dhahiri; mwenye kusujudia sanamu ni mshirikina na anataamiliwa matangamano ya washirikina. Hatuulizi nini alichonuia. Haya yametoka wapi? Tunasema yule mwenye kumsujudia asiyekuwa Allaah, sawa iwe ni sanamu au mwengine, ni mshirikina na anataamiliwa kama washirikina.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (24) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathulmajid%207%20-%20… Toleo la: 22.05.2015
- Imechapishwa: 11/02/2017
Swali: Kusujudia sanamu ni katika mambo ambayo hayako wazi?
Jibu: Sisi tunaangalia dhahiri; mwenye kusujudia sanamu ni mshirikina na anataamiliwa matangamano ya washirikina. Hatuulizi nini alichonuia. Haya yametoka wapi? Tunasema yule mwenye kumsujudia asiyekuwa Allaah, sawa iwe ni sanamu au mwengine, ni mshirikina na anataamiliwa kama washirikina.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (24) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathulmajid%207%20-%20… Toleo la: 22.05.2015
Imechapishwa: 11/02/2017
https://firqatunnajia.com/kusujudia-sanamu-ni-katika-mambo-ya-utata/