Kusoma Suurah Qaaf pekee kama Khutbah ya ijumaa

Swali 169: Je, mtu atosheke katika Khutbah ya ijumaa kusoma Suurah ”Qaaf” kutokana na Hadiyth iliyopokelewa?

Jibu: Hakuna kizuizi. Hadiyth inaashiria hivyo.

Swali 170: Je, mtu anaweza kusema kuhusu mtu anayesoma ”Qaaf” peke yake katika Khutbah siku ya ijumaa kuwa ni Sunnah?

Jibu: Ndio.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 74
  • Imechapishwa: 03/04/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´