Swali 14: Ni ipi hukumu ya kushutama ambako kumefanana na Rukuu´ katika baadhi ya michezo kukiwemo karate? Kabla ya mechi kuanza wachezaji wanasimama hawa mbele ya hawa kisha wanainama kwa njia ya kusalimiana.
Jibu: Haijuzu kufanya hivo. Hii ni dhambi kubwa. Anajikurubisha kwake kwa taadhima kama hii kubwa. Hii ni shirki kubwa. Mtu kama huyo anatakiwa kufunzwa.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: ash-Sharh al-Mumtaaz, uk. 33
- Imechapishwa: 28/09/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
10. Ni ipi hukumu ya mchezo wa karata na sataranji?
Swali 10: Ni ipi hukumu ya mchezo wa karata na sataranji? Jibu: Wanazuoni (Rahimahumu Allaah) wamesema kuwa michezo hiyo ni haramu, kama walivoyataja hayo wanazuoni wetu. Hilo ni kutokana na ule upotofu mwingi unaopatikana katika jambo hilo na kuzuia kutokamana na utajo wa Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala). Pengine vilevile likapelekea…
In "As-ilah Muhimmah - Ibn ´Uthaymiyn"
34. Ni ipi hukumu ya kukesha usiku kutwa katika michezo?
Swali 34: Ni ipi hukumu ya kukesha usiku wa Ramadhaan na kucheza? Jibu: Ni kupoteza wakati. ´Ibaadah ni mtu kuutumia usiku kwa kuswali, kusoma Qur-aan na kusoma elimu. Watu hawa wanapoteza usiku katika mipira na michezo. Hii bila ya shaka ni kupoteza wakati. Kisha wanautumia mchana kutwa na wanaamka karibu…
In "Fataawaas-Swiyaam"
al-Fawzaan kuhusu sujuud za wachezaji mpira
Swali: Ni ipi hukumu ya Sujuud inayopigwa na wachezaji katika michezo yao wanapofikiwa na kile wanachokitaka? Imenukuliwa kutoka kwako kwamba unaonelea hilo limewekwa katika Shari´ah kisha baadaye ikanukuliwa kuwa umelikataza? Jibu: Mtu wa kwanza aliyenukuu ni muongo na mimi sijasema kuwa hilo ni jambo limewekwa katika Shari´ah. Hiyo sio neema.…
In "Michezo na mazoezi"