Ama upokezi wa Zayd bin Abiy Unaysah kutoka kwa Junaadah bin Abiy Khaalid, kutoka kwa Mak-huul, amesimulia:
85 – Abu Sahl bin Ziyaad ametuhadithia: al-Hasan bin ´Aliy al-´Umariy ametuhadithia: Nimemsikia Ayyuub bin Muhammad al-Wazaan akisema: ´Abdullaah bin Ja´far ametuhadithia: ´Ubaydullaah bin ´Amr ametuhadithia, kutoka kwa Zayd, kutoka kwa Junaadah bin Abiy Khaalid, kutoka kwa Mak-huul, kutoka kwa Abu Idriys al-Khawlaaniy ambaye amesema:
“Allaah (´Azza wa Jall) hushuka katika mbingu ya chini usiku wa nusu Sha´baan ambapo akamsamehe kila muislamu isipokuwa mtu ambaye kuna chuki kati yake yeye na ndugu yake.”
- Muhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 166
- Imechapishwa: 09/05/2020
Ama upokezi wa Zayd bin Abiy Unaysah kutoka kwa Junaadah bin Abiy Khaalid, kutoka kwa Mak-huul, amesimulia:
85 – Abu Sahl bin Ziyaad ametuhadithia: al-Hasan bin ´Aliy al-´Umariy ametuhadithia: Nimemsikia Ayyuub bin Muhammad al-Wazaan akisema: ´Abdullaah bin Ja´far ametuhadithia: ´Ubaydullaah bin ´Amr ametuhadithia, kutoka kwa Zayd, kutoka kwa Junaadah bin Abiy Khaalid, kutoka kwa Mak-huul, kutoka kwa Abu Idriys al-Khawlaaniy ambaye amesema:
“Allaah (´Azza wa Jall) hushuka katika mbingu ya chini usiku wa nusu Sha´baan ambapo akamsamehe kila muislamu isipokuwa mtu ambaye kuna chuki kati yake yeye na ndugu yake.”
Muhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 166
Imechapishwa: 09/05/2020
https://firqatunnajia.com/kushuka-kwa-allaah-usiku-wa-nusu-ya-shabaan-kupitia-upokezi-wa-kathiyr-bin-murrah-al-hadhwramiy-04/