72- Abu Bakr an-Naysaabuuriy ametuhadithia: Ahmad bin Yuusuf (as-Sulamiy) ametuhadithia: Hajjaaj ametuhadithia: Hammaad ametuhadithia, kutoka kwa ´Aliy bin Zayd, kutoka kwa al-Hasan, kutoka kwa ´Uthmaan bin Abiyl-´Aasw, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ambaye amesema:
“Ananadi kila usiku Mwenye kunadi: “Je, kuna mwenye kuomba nimuitikie? Je, kuna mwenye kuomba nimpe? Je, kuna mwenye kuomba msamaha nimsamehe?” [1]
[1] Ahmad (4/22).
- Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 1450
- Imechapishwa: 30/04/2020
72- Abu Bakr an-Naysaabuuriy ametuhadithia: Ahmad bin Yuusuf (as-Sulamiy) ametuhadithia: Hajjaaj ametuhadithia: Hammaad ametuhadithia, kutoka kwa ´Aliy bin Zayd, kutoka kwa al-Hasan, kutoka kwa ´Uthmaan bin Abiyl-´Aasw, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ambaye amesema:
“Ananadi kila usiku Mwenye kunadi: “Je, kuna mwenye kuomba nimuitikie? Je, kuna mwenye kuomba nimpe? Je, kuna mwenye kuomba msamaha nimsamehe?” [1]
[1] Ahmad (4/22).
Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 1450
Imechapishwa: 30/04/2020
https://firqatunnajia.com/kushuka-kwa-allaah-kupitia-upokezi-wa-uthmaan-ath-thaqafiy/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)