63- al-Husayn bin Ismaa´iyl ametuhadithia: ´Abdul-A´laa al-Waaswil na ´Aliy bin Muslim wametuhadithia…:
Pia Muhammad bin Nuuh ametuhadithia: Ahmad bin Muhammad bin Yahyaa bin Sa´iyd ametuhadithia …:
Abu Bakr an-Naysaabuuriy vilevile na wengineo wametuhadithia: ´Abbaas bin Muhammad ametuhadithia: Muhaadhwir ametuhadithia: al-A´mash ametuhadithia: Naona kuwa Abu Sufyaan ameisimulia kutoka kwa Jaabir aliyesema:
”Hayo yanapitika katika kila usiku.” [1]
[1] Ibn Abiy ´Aaswim (1/220). Cheni ya wapokezi ni nzuri na Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy.
- Muhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 138
- Imechapishwa: 28/04/2020
63- al-Husayn bin Ismaa´iyl ametuhadithia: ´Abdul-A´laa al-Waaswil na ´Aliy bin Muslim wametuhadithia…:
Pia Muhammad bin Nuuh ametuhadithia: Ahmad bin Muhammad bin Yahyaa bin Sa´iyd ametuhadithia …:
Abu Bakr an-Naysaabuuriy vilevile na wengineo wametuhadithia: ´Abbaas bin Muhammad ametuhadithia: Muhaadhwir ametuhadithia: al-A´mash ametuhadithia: Naona kuwa Abu Sufyaan ameisimulia kutoka kwa Jaabir aliyesema:
”Hayo yanapitika katika kila usiku.” [1]
[1] Ibn Abiy ´Aaswim (1/220). Cheni ya wapokezi ni nzuri na Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy.
Muhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 138
Imechapishwa: 28/04/2020
https://firqatunnajia.com/kushuka-kwa-allaah-kupitia-upokezi-wa-abu-saiyd-na-abu-hurayrah-12/