60 – Muusa bin Ja´far bin Quraa ametuhadithia: Muhammad bin ´Iysaa bin Hibbaan ametuhadithia: Muhammad bin Fadhwl bin ´Atwiyyah ametuhadithia: Abu Ishaaq ametuhadithia, kutoka kwa al-Agharr Abu Muslim, kutoka kwa Abu Hurayrah na Abu Sa´iyd, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliyesema:
“Allaah huwapa muhula waja mpaka kunapopita theluthi ya usiku na kukabaki theluthi zake mbili ambapo anasema: “Je, kuna mwenye kuomba? Je, kuna mwenye kutubu? Je, kuna mwenye kuuliza? Je, kuna mwenye kuomba msamaha?”
Pia ameipokea Jaabir bin Yahyaa al-Hadhwramiy kutoka kwa Abu Ishaaq.
- Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 135
- Imechapishwa: 26/04/2020
60 – Muusa bin Ja´far bin Quraa ametuhadithia: Muhammad bin ´Iysaa bin Hibbaan ametuhadithia: Muhammad bin Fadhwl bin ´Atwiyyah ametuhadithia: Abu Ishaaq ametuhadithia, kutoka kwa al-Agharr Abu Muslim, kutoka kwa Abu Hurayrah na Abu Sa´iyd, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliyesema:
“Allaah huwapa muhula waja mpaka kunapopita theluthi ya usiku na kukabaki theluthi zake mbili ambapo anasema: “Je, kuna mwenye kuomba? Je, kuna mwenye kutubu? Je, kuna mwenye kuuliza? Je, kuna mwenye kuomba msamaha?”
Pia ameipokea Jaabir bin Yahyaa al-Hadhwramiy kutoka kwa Abu Ishaaq.
Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 135
Imechapishwa: 26/04/2020
https://firqatunnajia.com/kushuka-kwa-allaah-kupitia-upokezi-wa-abu-saiyd-na-abu-hurayrah-09/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)