Muslim bin Ibraahiym ametuhadithia: Shu´bah ametuhadithia, kutoka kwa Abu Ishaaq, kutoka kwa al-Agharr aliyesema:
“Abu Hurayrah na Abu Sa´iyd al-Khudriy wameshuhudia kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), na mimi nashuhudia kwamba wamesema, kuwa Mola (´Azza wa Jall) hushuka katika mbingu ya chini ya dunia kila usiku katika theluthi ya usiku na anasema: “Kisha anaita mwenye kuita: “Je, hakuna mwenye kuomba msamaha asamehewe? Je, hakuna mwenye kuuliza apewe? Je, hakuna mwenye kuomba aitikiwe?”[1]
[1] Muslim (172).
- Muhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 132-133
- Imechapishwa: 12/03/2020
Muslim bin Ibraahiym ametuhadithia: Shu´bah ametuhadithia, kutoka kwa Abu Ishaaq, kutoka kwa al-Agharr aliyesema:
“Abu Hurayrah na Abu Sa´iyd al-Khudriy wameshuhudia kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), na mimi nashuhudia kwamba wamesema, kuwa Mola (´Azza wa Jall) hushuka katika mbingu ya chini ya dunia kila usiku katika theluthi ya usiku na anasema: “Kisha anaita mwenye kuita: “Je, hakuna mwenye kuomba msamaha asamehewe? Je, hakuna mwenye kuuliza apewe? Je, hakuna mwenye kuomba aitikiwe?”[1]
[1] Muslim (172).
Muhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 132-133
Imechapishwa: 12/03/2020
https://firqatunnajia.com/kushuka-kwa-allaah-kupitia-upokezi-wa-abu-saiyd-na-abu-hurayrah-03/