52 – Abu ´Abdillaah al-Husayn bin Ismaa´iyl ametuhadithia: Yuusuf bin Muusa ametuhadithia: Jariyr ametuhadithia, kutoka kwa Mansuur, kutoka kwa Abu Ishaaq, kutoka kwa Abu Muslim al-Agharr, kutoka kwa Abu Sa´iyd na Abu Hurayrah waliosimulia kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Hakika Allaah (Tabaarak wa Ta´ala) anawapa muhula mpaka kunapopita theluthi ya kwanza ya usiku ndipo hushuka katika mbingu ya chini ya dunia na anasema mpaka alfajiri inaingia: “Je, kuna mwenye kutubia? Je, kuna mwenye kuomba msamaha? Je, kuna mwenye kuomba?”[1]
[1] Muslim (172).
- Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 231
- Imechapishwa: 10/03/2020
52 – Abu ´Abdillaah al-Husayn bin Ismaa´iyl ametuhadithia: Yuusuf bin Muusa ametuhadithia: Jariyr ametuhadithia, kutoka kwa Mansuur, kutoka kwa Abu Ishaaq, kutoka kwa Abu Muslim al-Agharr, kutoka kwa Abu Sa´iyd na Abu Hurayrah waliosimulia kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Hakika Allaah (Tabaarak wa Ta´ala) anawapa muhula mpaka kunapopita theluthi ya kwanza ya usiku ndipo hushuka katika mbingu ya chini ya dunia na anasema mpaka alfajiri inaingia: “Je, kuna mwenye kutubia? Je, kuna mwenye kuomba msamaha? Je, kuna mwenye kuomba?”[1]
[1] Muslim (172).
Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 231
Imechapishwa: 10/03/2020
https://firqatunnajia.com/kushuka-kwa-allaah-kupitia-upokezi-wa-abu-saiyd-na-abu-hurayrah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)