20- Ahmad bin Muhammad bin ´Abdillaah bin Ziyaad ametuhadithia: Ismaa´iyl bin Ishaaq ametuhadithia: Hajjaaj bin Minhaal ametuhadithia …
Saa´id alisomewa: Ahmad bin Mansuur amekuhadithieni: Hishaam bin ´Abdil-Malik ametuhadithia: Hammaad bin Salamah ametuhadithia, kutoka kwa Muhammad bin ´Amr, kutoka kwa Abu Salamah, kutoka kwa Abu Hurayrah, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ambaye amesema:
“Inapokuwa nusu ya usiku basi Allaah (Ta´ala) anashuka katika mbingu ya dunia na anasema mpaka alfajiri inaingiai: “Ni nani aniulizaye nimpe? Ni nani aniulizaye nimpe? Ni nani aniombae maghfirah nimghufurie?”
al-Qaadhwiy Ismaa´iyl amepokea kwa:
“Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema… “
- Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 105
- Imechapishwa: 17/01/2018
20- Ahmad bin Muhammad bin ´Abdillaah bin Ziyaad ametuhadithia: Ismaa´iyl bin Ishaaq ametuhadithia: Hajjaaj bin Minhaal ametuhadithia …
Saa´id alisomewa: Ahmad bin Mansuur amekuhadithieni: Hishaam bin ´Abdil-Malik ametuhadithia: Hammaad bin Salamah ametuhadithia, kutoka kwa Muhammad bin ´Amr, kutoka kwa Abu Salamah, kutoka kwa Abu Hurayrah, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ambaye amesema:
“Inapokuwa nusu ya usiku basi Allaah (Ta´ala) anashuka katika mbingu ya dunia na anasema mpaka alfajiri inaingiai: “Ni nani aniulizaye nimpe? Ni nani aniulizaye nimpe? Ni nani aniombae maghfirah nimghufurie?”
al-Qaadhwiy Ismaa´iyl amepokea kwa:
“Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema… “
Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 105
Imechapishwa: 17/01/2018
https://firqatunnajia.com/kushuka-kwa-allaah-kupitia-upokezi-wa-abu-hurayrah-8/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)