42 – Abu ´Amr Yuusuf bin Ya´quub bin Yuusuf ametuhadithia: Muhammad bin ´Abdil-A´laa ametuhadithia: Mu´tamir ametuhadithia: Nimemsikia ´Ubaydullaah bin ´Umar, kutoka kwa Sa´iyd bin Abiy Sa´iyd, kutoka kwa Abu Hurayrah, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliyesema:
”Lau nisingeliona uzito juu ya Ummah wangu basi ningeliwaamrisha kutumia Siwaak pamoja na wudhuu´ na ningechelewesha swalah ya ´Ishaa mpaka theluthi ya usiku au nusu ya usiku. Hakika Allaah (´Azza wa Jall) wakati huo hushuka katika mbingu ya dunia na kusema: “Je, kuna mwenye kuomba nimuitikie? Je, kuna mwenye kuomba nimpe maombi yake? Je, kuna mwenye kuomba msamaha nimsamehe?”
- Muhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 124-125
- Imechapishwa: 27/01/2020
42 – Abu ´Amr Yuusuf bin Ya´quub bin Yuusuf ametuhadithia: Muhammad bin ´Abdil-A´laa ametuhadithia: Mu´tamir ametuhadithia: Nimemsikia ´Ubaydullaah bin ´Umar, kutoka kwa Sa´iyd bin Abiy Sa´iyd, kutoka kwa Abu Hurayrah, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliyesema:
”Lau nisingeliona uzito juu ya Ummah wangu basi ningeliwaamrisha kutumia Siwaak pamoja na wudhuu´ na ningechelewesha swalah ya ´Ishaa mpaka theluthi ya usiku au nusu ya usiku. Hakika Allaah (´Azza wa Jall) wakati huo hushuka katika mbingu ya dunia na kusema: “Je, kuna mwenye kuomba nimuitikie? Je, kuna mwenye kuomba nimpe maombi yake? Je, kuna mwenye kuomba msamaha nimsamehe?”
Muhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 124-125
Imechapishwa: 27/01/2020
https://firqatunnajia.com/kushuka-kwa-allaah-kupitia-upokezi-wa-abu-hurayrah-30/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)