15- Abu Muhammad bin Saa´ida alisomewa na mimi huku nasikiliza: Ibraahiym bin Sallaam al-Makkiy amekuhadithieni: ´Abdul-´Aziyz bin Muhammad ad-Daraawardiy ametuhadithia, kutoka kwa Muhammad bin ´Amr, kutoka kwa Abu Salamah, kutoka kwa Abu Hurayrah aliyeeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Allaah (´Azza wa Jall) anashuka kila usiku katika mbingu ya dunia kwenye nusu ya usiku au theluthi ya mwisho na anasema mpaka alfajiri inaingia: “Ni nani aniombaye nimuitikie? Ni nani aniombae nimpe? Ni nani aniombae maghfirah nimghufurie?”[1]
[1] al-Albaaniy amesema:
“Mlolongo wa wapokezi ni mzuri na Swahiyh.” (Dhwilaal-ul-Jannah (496))
- Muhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 104
- Imechapishwa: 16/01/2018
15- Abu Muhammad bin Saa´ida alisomewa na mimi huku nasikiliza: Ibraahiym bin Sallaam al-Makkiy amekuhadithieni: ´Abdul-´Aziyz bin Muhammad ad-Daraawardiy ametuhadithia, kutoka kwa Muhammad bin ´Amr, kutoka kwa Abu Salamah, kutoka kwa Abu Hurayrah aliyeeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Allaah (´Azza wa Jall) anashuka kila usiku katika mbingu ya dunia kwenye nusu ya usiku au theluthi ya mwisho na anasema mpaka alfajiri inaingia: “Ni nani aniombaye nimuitikie? Ni nani aniombae nimpe? Ni nani aniombae maghfirah nimghufurie?”[1]
[1] al-Albaaniy amesema:
“Mlolongo wa wapokezi ni mzuri na Swahiyh.” (Dhwilaal-ul-Jannah (496))
Muhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 104
Imechapishwa: 16/01/2018
https://firqatunnajia.com/kushuka-kwa-allaah-kupitia-upokezi-wa-abu-hurayrah-3/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket