37- Abul-Qaasim Naswr bin Babzuuyah ash-Shiyraaziy ametuhadithia: Ishaaq bin Ibraahiym Shaadhaan ametuhadithia: Abu Daawuud ametuhadithia: Ibraahiym bin Sa´d ametuhadithia, kutoka kwa az-Zuhriy, kutoka kwa Abu Salamah bin ´Abdir-Rahmaan na al-A´raj, kutoka kwa Abu Hurayrah aliyemweleza kwamba alimsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:
“Mola wetu (Ta´ala) hushuka pindi kunapobaki theluthi ya mwisho ya usiku na husema: “Ni nani mwenye kuniomba msamaha nimsamehe? Ni nani mwenye kuniomba nimpe? Ni nani mwenye kiniomba nimuitikie?”
Abu Ishaaq as-Sabiy´iy na Habiyb bin Abiy Thaabit vilevile wameipokea Hadiyth hii kutoka kwa al-Agharr, kutoka kwa Abu Hurayrah na Abu Sa´iyd al-Khudriy. Nitaziandika pamoja na Hadiyth za Abu Sa´iyd al-Khudriy baada ya kuzimaliza Hadiyth za Abu Hurayrah.
Sa´iyd bin Abiy Sa´iyd al-Muqriy pia ameipokea Hadiyth hii. Wametofautiana juu yake; ´Ubaydullaah bin ´Umar amesema kuhusu Sa´iyd: Kutoka kwa Sa´iyd al-Muqriy, kutoka kwa Abu Hurayrah. Muhammad bin Ishaaq amepokea kutoka kwa Sa´iyd al-Muqriy, kutoka kwa ´Atwaa´, mtumwa wa Umm Swabiyyah aliyeachwa huru, kutoka kwa Abu Hurayrah.
- Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 120-122
- Imechapishwa: 19/01/2020
37- Abul-Qaasim Naswr bin Babzuuyah ash-Shiyraaziy ametuhadithia: Ishaaq bin Ibraahiym Shaadhaan ametuhadithia: Abu Daawuud ametuhadithia: Ibraahiym bin Sa´d ametuhadithia, kutoka kwa az-Zuhriy, kutoka kwa Abu Salamah bin ´Abdir-Rahmaan na al-A´raj, kutoka kwa Abu Hurayrah aliyemweleza kwamba alimsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:
“Mola wetu (Ta´ala) hushuka pindi kunapobaki theluthi ya mwisho ya usiku na husema: “Ni nani mwenye kuniomba msamaha nimsamehe? Ni nani mwenye kuniomba nimpe? Ni nani mwenye kiniomba nimuitikie?”
Abu Ishaaq as-Sabiy´iy na Habiyb bin Abiy Thaabit vilevile wameipokea Hadiyth hii kutoka kwa al-Agharr, kutoka kwa Abu Hurayrah na Abu Sa´iyd al-Khudriy. Nitaziandika pamoja na Hadiyth za Abu Sa´iyd al-Khudriy baada ya kuzimaliza Hadiyth za Abu Hurayrah.
Sa´iyd bin Abiy Sa´iyd al-Muqriy pia ameipokea Hadiyth hii. Wametofautiana juu yake; ´Ubaydullaah bin ´Umar amesema kuhusu Sa´iyd: Kutoka kwa Sa´iyd al-Muqriy, kutoka kwa Abu Hurayrah. Muhammad bin Ishaaq amepokea kutoka kwa Sa´iyd al-Muqriy, kutoka kwa ´Atwaa´, mtumwa wa Umm Swabiyyah aliyeachwa huru, kutoka kwa Abu Hurayrah.
Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 120-122
Imechapishwa: 19/01/2020
https://firqatunnajia.com/kushuka-kwa-allaah-kupitia-upokezi-wa-abu-hurayrah-25/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)