Kupeana mkono na kukaa chemba na wamamdogo na mashangazi wa wazazi

Swali: Je, inafaa kwa mtu kupeana mkono au kukaa chemba na mama mdogo au shangazi yake mama au dada yake baba au shangazi yake baba?

Jibu: Ndio, udhahiri ni kwamba inafaa.

  • Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 595
  • Imechapishwa: 31/07/2025