Swali: Je, kuchotwa damu nyingi ya kupeana kunamfunguza mwenye kufunga?
Jibu: Kuchotwa damu nyingi ya kupeana ikiwa kunapelekea katika yale yanayopelekea chuku ambapo ni kudhoofika kwa mwili kwa yule mgonjwa na hivyo akahitajia chakula, basi kutakuwa na hukumu moja kama ya kuumika. Ama kile kiwango kikubwa cha damu kinachotoka pasi na mtu mwenyewe kutaka, kwa mfano mtu akapata majeraha na hivyo akatokwa na damu nyingi, hiyo haidhuru kwa sababu si kwa matakwa ya mtu mwenyewe.
- Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (19/250)
- Imechapishwa: 03/05/2021
Swali: Je, kuchotwa damu nyingi ya kupeana kunamfunguza mwenye kufunga?
Jibu: Kuchotwa damu nyingi ya kupeana ikiwa kunapelekea katika yale yanayopelekea chuku ambapo ni kudhoofika kwa mwili kwa yule mgonjwa na hivyo akahitajia chakula, basi kutakuwa na hukumu moja kama ya kuumika. Ama kile kiwango kikubwa cha damu kinachotoka pasi na mtu mwenyewe kutaka, kwa mfano mtu akapata majeraha na hivyo akatokwa na damu nyingi, hiyo haidhuru kwa sababu si kwa matakwa ya mtu mwenyewe.
Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (19/250)
Imechapishwa: 03/05/2021
https://firqatunnajia.com/kupeana-damu-na-kupoteza-damu-nyingi-wakati-wa-swawm/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)