Swali: Je, inafaa kuomba du´aa ya kuomba mvua katika Qunuut ya Witr na swalah za ´iyd mbili?

Jibu: Ndio. Ni sawa akiomba du´aa ya kuomba mvua katika Witr.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (22)
  • Imechapishwa: 31/10/2021