Kuomba kwa jaha ni njia inayopelekea katika shirki

Swali: Vipi kuomba du´aa kwa haja ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)?

Jibu: Ni katika njia za shirki. Haijuzu. Haijuzu kusema:

”Ee Allaah! Hakika mimi nakuomba kwa jaha ya Mtume.”

”Ee Allaah! Hakika mimi nakuomba kupitia Mtume wako, kupitia waja wema au kwa jaha ya waja wema.”

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24590/هل-يجوز-التوسل-بجاه-النبي-عليه-الصلاة-والسلام
  • Imechapishwa: 08/11/2024