Swali: Safari yako kwenda ar-Riyaadh ilikuwa baada ya wewe kuoa?
Jibu: Kuoa kuna mafungamano yepi na masomo?
Swali: Watu wengi wanaona kuwa kuoa ni kizuizi cha masomo?
Jibu: Kamwe. Haizuii masomo. Kuoa hakuzuii masomo. Bali huenda ni jambo likamsaidia mtu na kusoma kwa sababu mwanaume anapata utulivu na anakuwa na uhusiano na mke wake. Anaacha mambo ya safari na mengine yenye kuzuia kusoma.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Muhadhara: Siyratiy adh-Dhaatiyyah http://www.alfawzan.af.org.sa/node/15901
- Imechapishwa: 27/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)