Kuna udharurah mwanamke kusoma katika masomo ya mchanganyiko?

Swali: Je, inajuzu kwa mwanamke kusomea utabibu kwenye chuo kikuu cha mchanganyiko kwa ajili ya dharurah?

Jibu: Hakuna dharurah yoyote. Asisome kwenye masomo yaliyo na mchanganyiko. Hakuna dharurah yoyote. Hili sio katika mambo yanayoruhusu mchanganyiko ulioharamishwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (38) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-2-4_1.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020